Westfm Kenya
Radio Stations
  • Business
  • Agriculture
  • Sports
  • WestFM Live
  • Mumbo FM
  • Contact Us
No Result
View All Result
  • Business
  • Agriculture
  • Sports
  • WestFM Live
  • Mumbo FM
  • Contact Us
No Result
View All Result
Westfm Kenya
No Result
View All Result
Home Uncategorized

Cord waandamana kubandua IEBC mamlakani

Peter Nyongesa by Peter Nyongesa
April 26, 2016
in Uncategorized
0
coalition, the rift,WAANDAMANA

Cord co- principles Raila Odinga (left) Kalonzo Musyoka (center) and Moses Wetangula

0
SHARES
6
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

Cord waandamana kubandua IEBC mamlakani

Yafuatayo ni matukio yaliyogonga vichwa vya habari kama tulivyo yapokea katika chumba chetu cha habari leo jioni.

Cord waandamana kubandua IEBC mamlakani

Viongozi wa mrengo wa upinzani nchini (Cord) wamekabiliwa na maafisa wa usalama baada yao kuandamana hadi makao makuu ya tume ya uchaguzi (iebc) wakitaka ing’atuke mamlakani.

Maji safi kwa shule za umma maeneo kame

Wizara ya Maji na Unyunyuziaji Mashamba Maji inalenga kuhakikisha kuwa shule zote za umma zilizoko katika maeneo kame zinapata huduma za maji safi.

Waziri Eugine Wamalwa anasema wizara yake i mbiyoni kuhakikisha kuwa shule za umma zinakuwa na maji safi ya matumizi.

KNEC,waandamana
The cabinet secretary for water and irrigation Eugine Wamalwa as he spoke

Serikali yazindua ruwaza kukabili ukame Pokot

Serikali imezindua ruwaza ya mwaka 2022 ya kukakabili athari za makali ya ukame katika kaunti ya Pokot magharibi huku eneo hilo likisalia mojawapo ya maeneo nchini yanayoathirika pakubwa na ukame.

 

Huduma za CDF Mlima Elgoni kutatizika

Huenda wakaazi katika eneo bunge la Mlima Elgon wakazidi kusubiri kwa muda usiojulikana kupata huduma za hazina ya CDF baada ya kundi moja kufika mahakamani kupinga kuteuliwa kwa kamati ya hazina hiyo yenye uwezo wa kutekeleza miradi inayopitishwa.

Spika wa Vihiga Dan Chitwa aanza kuchunguzwa rasmi

Kamati ya bunge katika bunge la kaunti ya Vihiga iliyo buniwa kumchunguza spika wa bunge hilo Dan Chitwa imeanza rasmi vikao vya kumuchunguza spika huyo kutokana na utumizi mbaya wa fedha na mamlaka katika bunge hilo.

Familia yalilia haki ya mwanao alinajisiwa

Familia moja kutoka kijiji cha Bushiri kata ya Ingotse eneo bunge la Navakholo kaunti ya Kakamega inaomba mashirika ya kutetea haki za watoto kuingilia kati na kuhakikisha kuwa mzee aliyemnajisi mwanao wa miaka 10 anachukuliwa hatua  kali za kisheria.

Mzozo kati ya wafanyibiashara na serikali wanukia Kitale

Mzozo unatokota kati ya wafanyibiashara mjini Kitale katika eneo la Chanuka na serikali ya kaunti ya Trans Nzoia baada ya kubainika kuwa kipande cha ardhi cha wafanyibiashara hao ambacho wamekuwa wakifanyia biashara kimeuzwa.

Ugonjwa wa Malaria wabakia kero Busia na Bungoma

Asilimia arobaini ya wakaazi wa kaunti ya Busia huugua ugonjwa wa malaria kila mwaka.

Huku taifa la Kenya likijiunga na mataifa mengine ulimwenguni kuadimisha Siku ya Malaria Duniani, ugonjwa wa malaria umetajwa kuwa tishio kwa maisha ya mama mja mzito katika kaunti ya Bungoma.

waandamana
Fatou Bensouda

Bensouda aanza uchunguzi wa awali kuhusu mauaji Burundi

Mwendesha mashtaka mkuu wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu wa Kivita (ICC) amesema mahakama hiyo imeanzisha uchunguzi wa awali kuhusu mauaji ambayo yamekuwa yakitokea nchini Burundi.

Bi. Fatou Bensouda amesema amekuwa akifuatilia kwa karibu matukio Burundi tangu Aprili 2015 na kwamba mara kwa mara amezitaka pande zote husika kutojihusisha na ghasia na amauaji.

Kwa kina cha habari hizi sikiliza West Fm katika masafa ya 94.9 na 104.1,  au katika mtandao kwenye www.westfm.co.ke. Tegea runinga yetu ya West TV katika masafa yaStartimes 118 na Go Tv 805.

 

Tags: cord waandamanaMaji safi kwa shule kamemalaria bado kero Kenya
Previous Post

Arsonist torches a Nyumba Kumi official house

Next Post

Mt. Elgon residents to wait longer for CDF services

Peter Nyongesa

Peter Nyongesa

Next Post
mt. elgon residents

Mt. Elgon residents to wait longer for CDF services

Stay Connected test

  • 14.6k Followers
  • 23.8k Followers
  • 99 Subscribers
  • Trending
  • Comments
  • Latest
The baby was pronounced dead on arrival at Lumakanda hospital

A KCSE candidate dies after giving birth in Lugari

November 9, 2019
Mr. Walter Akhonya shows the herbal medicine he claims can cure AIDS

Lugari farmer claims to have found HIV/AIDS cure, dares researchers to prove him wrong

December 2, 2019
The vehicle that was involved in the accident

Vehicle transporting a corpse involved in an accident in Likuyani

November 9, 2019
The lorry that was supposed to transport the stolen animals

Stolen animals recovered in Turbo forest

November 23, 2019
Student drowns at Friends school Kamusinga

Student drowns at Friends school Kamusinga

4
swept

Man swept away by raging waters of Kipkaren River

4
KCSE Bungoma

Jubilation in Bungoma after 2015 KCSE results

3
Busia KCSE 2015

Anxiety in Busia as Nambale Boys results are withheld

3
CS agriculture Mithika Linturi at Kapenguria NCPB.

Implementing multimillion Nasukuta Modern Abattoir In West Pokot

March 25, 2023
Resident in the river ready to retrieve the body

A decomposed body of a man retrieved from Kipkaren River

March 25, 2023
Bungoma county workers on site

Bungoma County plans to drill more boreholes for residents

March 22, 2023
Swearing in of Rose Angira CECM Youth gender and social welfare

‘No laxity’. Nandi governor tells County CO’S AND CEC’S

March 21, 2023

Recent News

CS agriculture Mithika Linturi at Kapenguria NCPB.

Implementing multimillion Nasukuta Modern Abattoir In West Pokot

March 25, 2023
Resident in the river ready to retrieve the body

A decomposed body of a man retrieved from Kipkaren River

March 25, 2023
Bungoma county workers on site

Bungoma County plans to drill more boreholes for residents

March 22, 2023
Swearing in of Rose Angira CECM Youth gender and social welfare

‘No laxity’. Nandi governor tells County CO’S AND CEC’S

March 21, 2023

We bring you the best Premium WordPress Themes that perfect for news, magazine, personal blog, etc. Check our landing page for details.

Follow Us

Browse by Category

  • Agriculture
  • Business
  • Chronicle
  • Covid-19
  • Culture
  • Development
  • Education
  • Elections 2022
  • Environment
  • Health
  • Latest News
  • Market
  • Money
  • Opinion and Editorial
  • Politics
  • Sports
  • Stock
  • Uncategorized
  • West FM Editorials
  • West FM News

Recent News

CS agriculture Mithika Linturi at Kapenguria NCPB.

Implementing multimillion Nasukuta Modern Abattoir In West Pokot

March 25, 2023
Resident in the river ready to retrieve the body

A decomposed body of a man retrieved from Kipkaren River

March 25, 2023
  • Business
  • Agriculture
  • Sports
  • WestFM Live
  • Mumbo FM
  • Contact Us

© 2023 West FM MEDIA

No Result
View All Result
  • Business
  • Agriculture
  • Sports
  • WestFM Live
  • Mumbo FM
  • Contact Us

© 2023 West FM MEDIA