Westfm Kenya
Radio Stations
  • Business
  • Agriculture
  • Sports
  • WestFM Live
  • Mumbo FM
  • Contact Us
No Result
View All Result
  • Business
  • Agriculture
  • Sports
  • WestFM Live
  • Mumbo FM
  • Contact Us
No Result
View All Result
Westfm Kenya
No Result
View All Result
Home Uncategorized

Shule ya upili ya Khasoko yafungwa baada ya maandamano

Peter Nyongesa by Peter Nyongesa
May 16, 2016
in Uncategorized
0
KCSE Bungoma,khasoko
0
SHARES
14
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

Ufuatao ni mhutasari wa matukio yaliyogonga vichwa vya habari kama tulivyo yapokea katika chumba chetu cha habari leo.

Shule ya upili ya wavulana ya Khasoko inakadiria hasara kubwa baada ya wanafuzi kugoma usiku wa kuamkia leo na kuharibu vifaa shuleni humo ikiwemo kupasua madirisha ya madarasa na vilevile kuharibu vifaa vya kielektroniki.

Ni mara ya pili sasa kwa wanafunzi wa shule hiyo kuandaa mgomo huku wakimtaka mwalimu mkuu david mwaturo kupewa uhamisho kwa kushindwa kuwashughulikia vyema na shule hiyo kutoandikisha matokeo mema.

Kaka wamfunga nduguyao mtini na kumpiga hadi kufa

Polisi mjini Kakamega wanawazuilia kaka wawili wanaokisiwa kumfunga ndugu yao kwa mti na kisha kumpiga hadi kufa kwa madai kuwa marehemu alisababisha baba yao kukamatwa.

Watoto nchini kupata chanjo ya Ukambi na Rubella

Takribani watoto elfu mia tisa na thelathini walio kati ya umri wa miezi 9 hadi miaka 14 wanatazamiwa kupokea chanjo dhidi ya ukambi katika kaunti ya kakamega kwenye zoezi la siku tisa  lililong’oa nanga kote nchini jumatatu hii.

Serikali yatakiwa kuhakikisha zahanati zina wauguzi

Wito umetolewa kwa serikali ya kaunti ya Bungoma kuhakikisha zahanati na hospitali zote zinapokea dawa na wauguzi wa kutosha kama njia moja ya kuzuia vifo ambavyo vinaendelea kushudiwa.

Kimataifa

Kiongozi wa upinzani nchini Uganda Kizza Besigye anahamishwa kutoka gereza la Moroto kaskazini mashariki mwa nchi kwenda gereza la Luzira lililo mji mkuu Kampala ambalo ndilo gereza kubwa zaidi nchini humo.

Kwa kina cha habari hizi sikiliza West Fm katika masafa ya 94.9 na 104.1,  au katika mtandao kwenye www.westfm.co.ke. Tegea runinga yetu ya West TV katika masafa ya Startimes 118 na Go Tv 805.

 

Tags: khasokomaandamano
Previous Post

Govt. rolls out measles & Rubella vaccination program

Next Post

Groups in Kimilili given dairy cows by county govt.

Peter Nyongesa

Peter Nyongesa

Next Post
cows

Groups in Kimilili given dairy cows by county govt.

Stay Connected test

  • 14.6k Followers
  • 23.8k Followers
  • 99 Subscribers
  • Trending
  • Comments
  • Latest
The baby was pronounced dead on arrival at Lumakanda hospital

A KCSE candidate dies after giving birth in Lugari

November 9, 2019
Mr. Walter Akhonya shows the herbal medicine he claims can cure AIDS

Lugari farmer claims to have found HIV/AIDS cure, dares researchers to prove him wrong

December 2, 2019
The vehicle that was involved in the accident

Vehicle transporting a corpse involved in an accident in Likuyani

November 9, 2019
The lorry that was supposed to transport the stolen animals

Stolen animals recovered in Turbo forest

November 23, 2019
Student drowns at Friends school Kamusinga

Student drowns at Friends school Kamusinga

4
swept

Man swept away by raging waters of Kipkaren River

4
KCSE Bungoma

Jubilation in Bungoma after 2015 KCSE results

3
Busia KCSE 2015

Anxiety in Busia as Nambale Boys results are withheld

3
CS agriculture Mithika Linturi at Kapenguria NCPB.

Implementing multimillion Nasukuta Modern Abattoir In West Pokot

March 25, 2023
Resident in the river ready to retrieve the body

A decomposed body of a man retrieved from Kipkaren River

March 25, 2023
Bungoma county workers on site

Bungoma County plans to drill more boreholes for residents

March 22, 2023
Swearing in of Rose Angira CECM Youth gender and social welfare

‘No laxity’. Nandi governor tells County CO’S AND CEC’S

March 21, 2023

Recent News

CS agriculture Mithika Linturi at Kapenguria NCPB.

Implementing multimillion Nasukuta Modern Abattoir In West Pokot

March 25, 2023
Resident in the river ready to retrieve the body

A decomposed body of a man retrieved from Kipkaren River

March 25, 2023
Bungoma county workers on site

Bungoma County plans to drill more boreholes for residents

March 22, 2023
Swearing in of Rose Angira CECM Youth gender and social welfare

‘No laxity’. Nandi governor tells County CO’S AND CEC’S

March 21, 2023

We bring you the best Premium WordPress Themes that perfect for news, magazine, personal blog, etc. Check our landing page for details.

Follow Us

Browse by Category

  • Agriculture
  • Business
  • Chronicle
  • Covid-19
  • Culture
  • Development
  • Education
  • Elections 2022
  • Environment
  • Health
  • Latest News
  • Market
  • Money
  • Opinion and Editorial
  • Politics
  • Sports
  • Stock
  • Uncategorized
  • West FM Editorials
  • West FM News

Recent News

CS agriculture Mithika Linturi at Kapenguria NCPB.

Implementing multimillion Nasukuta Modern Abattoir In West Pokot

March 25, 2023
Resident in the river ready to retrieve the body

A decomposed body of a man retrieved from Kipkaren River

March 25, 2023
  • Business
  • Agriculture
  • Sports
  • WestFM Live
  • Mumbo FM
  • Contact Us

© 2023 West FM MEDIA

No Result
View All Result
  • Business
  • Agriculture
  • Sports
  • WestFM Live
  • Mumbo FM
  • Contact Us

© 2023 West FM MEDIA